Waliokuwa wabunge wa CCM, Mzee James Lembeli (kulia) na Easter Bulaya wakiwa katika mkutano wa Chadema leo jijini Mwanza.
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
amewakabidhi rasmi kadi za uanachama, aliyekuwa Mbunge wa Kahama, Mh.
James Daudi Lembeli na aliyekuwa Mbuge wa Kuteuliwa mkoani Mara, Ester
Amos Bulaya kwenye Mkutano wa chama hicho unaoendelea mpaka sasa jijini
Mwanza.
Mh Lembeli akiwa na John Mnyika wakikatiza mitaa ya jiji la Mwanza.
Marafiki wawili, Easter Bulaya akifurahia jambo na Halima Mdee.
Viongozi wa Chadema baada ya kufika kwenye uwanja wa mkutano.
Katibu akikatiza mitaa na mashabiki ya watu Jijini Mwanza.
.
No comments:
Post a Comment