MAJAJI WA BONGO STAR SEARCH WAJUMUIKA NA WATOTO YATIMA KULA FTARI
Majaji wa Bongo Star Search kuelekea msimu wa nane wa BSS2015, hivi majuzi siku ikiwa ni siku moja kabla ya kuanza mchakato wa kusaka vipaji mkoani Mwanza walijumuika na watoto Yatima wa kituo cha Chakuwama kilichopo Mwenge, Dar Es Salaam na kula Iftaar ya kipindi hiki cha mfungo wa Ramadn na kutoa misaada mbali mbali.
Kituo hicho kina jumla ya watoto yatima 100 kuanzia wachanga mpaka miaka 16 na wahudumu 10.
ZIFUATAZO NI PICHA TUKIO ZIMA.
No comments:
Post a Comment