Juzi
July 12 katika jiji la Baton Rouge nchini marekani lilifanyika tukio
kubwa la kumsaka mrembo wa kuiwakilisha USA kwa mwaka 2015 ambapo mwana
dada Olivia ndie aliibuka mshindi kwa kuchukua tuzo ya heshima ya kuwa
miss Usa mwaka 2015.
wadhifa wa miss Olivia pia ni muigizaji maarufu katia series tofauti
tofati ambazo pia zimefanya vizuri.Olivia Jordan mwenye umri wa miaka 26
ushindi wake unalinganishwa na mwana dada Sancez 25 ambae alitwaa taji
hilo mwaka jana.Washiriki walikuwa ni wengi hali ya kufikia 50 lakini
mwana dada huyo alionekana na vitu vya kipekee na kusababishia kushinda
taji hilo.
Top Three aliyokuwa nayo Olivia ni pamoja na Rhode Island, Maryland, Texas.
djwillkan.blogspot.com
No comments:
Post a Comment