Women For Change inakuletea kitchen party siku ya tarehe 25 mwezi huu wa saba katika ukumbi wa Nyakahara Garden. Hii ni maalum kwa akina dada na kina mama wote, ni mahususi kwa nia ya kuwafanya wanawake na kina dada kujitambua katika familia zao, kuyajua majukumu yao katika familia. Upande wa kina dada walio katika ndoa pia ama wale ambao ndio wanataka kuingia katika ndoa. Karibuni sana kuna mengi ya kuyajua na ni faida kwenu, fika nyakahara na mlangoni utaingia kwa Sh 30,000 tu ya kitanzania. Kutana na Ant Sadaka kutoka Clouds Media Group.
djwillkan.blogspot.com
No comments:
Post a Comment