Hekaheka ya leo ilikua ikifanya mahojiano na mama mmoja ambaye watoto wake wawili wa kiume wana matatizo.
Mama huyo anasema mtoto wake wa kwanza
mwenye miaka 12 hawezi kukaa wala kusimama zaidi ya kubebwa mgongoni
muda wote na hospitali wamemwambia mwanaye ana tatizo la utindio wa
Ubungo..ukiachilia huyo anasema huyo wa pili mweye miezi saba na yeye
anaelekea kuwa na tatizo kama hilo.
Anasema mpaka sasa amekua akipata mateso
makubwa ya kuwalea watoto wake hao kutokana na kutokuwa na uwezo na
wanahitaji kuhudumiwa muda wote.
Msikilize hapa…
No comments:
Post a Comment