Single Party maalum kwa kina Kaka na kina Dada, mahususi kwa ambao hawako katika mahusiano. Lengo ni kuwakutanisha sehemu moja na kuwaweka pamoja ili waweze kubadilishana mawazo mbali mbali. Kuwaweka karibu na kuwajenga kihisia katika mahusiano, wengine hawako katika mahusiano yaweza kuwa wanatatizo na wengine wakuta wanashindwa kujieleza lakini wanatamani. Sasa Betty Entertainment imekuletea party hii ya kuwaweka pamoja na kuzungumza nao pamoja ikiwa ni tiba ya kuwatoa uoga.
Kadi ni Sh 30,000 na zinapatikana Karena Hotel, Club Butiama, Unique Pub na Lubaga Inn. Itakuwa siku ya Jumamosi ya tarehe 29/08/2015 Karena Hotel saa moja za jioni. Utapata Chakula cha jioni pamoja na Vinywaji. Watu wote mnakaribishwa.
No comments:
Post a Comment