Tuesday, April 26, 2016

Kati ya nchi 10, Tanzania ni moja kati ya nchi zinazotajwa Uchumi wake utakua kwa haraka duniani



Ripoti ya World Economic Outlook ‘WEO’ ambayo inatoa makadirio ya maendeleo ya kiuchumi katika ngazi ya kimataifa, ripoti hiyo hutolewa April na September/October kila mwaka ambapo hutumia database kupata taarifa za akaunti za taifa, mfumuko wa bei, viwango vya ukosefu wa ajira, bei za bidhaa n.k.
Katika ripoti yake ya April 2016 imeitaja nchi ya Myanmar kuwa ndio nchi inayotajwa kuongoza nchi zinazotarajiwa kurejea katika ukuaji mkubwa wa uchumi kwa pato linalokadiriwa kukua kwa 8.6% kwa mwaka.
Ivory Coast imekuwa nchi ya pili na makadirio ya ukuaji wa pato la Taifa la 8.5% mwaka huu. Nchi zingine zilizotabiriwa kurudi takwimu ya juu ya ukuaji ni pamoja na India, Laos na Tanzania.
economic 




UNGANA NAMI KATIKA MITANDAO MINGINE YA KIJAMII: Facebook== DJWillkan.com, Twitter== @Djkanvol  Instagram== @djwillkan_zekanvol
KWA HABARI MOTOMOTO ZA KIBURUDANI, SIASA, MICHEZO, HABARI ZA KUSISIMUA NA ZINGINE NYINGI.
 djwillkan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment