Two days tangu surprised audio & visual album
“Lamonade”,kutoka kwa Beyonce kuachiwa,album ambayo imepata comments za
kutosha wengine wakipongeza na wengine wakikosoa,still Queen Bey
ameendelea kumake headline coz yote yaliyojiri kwenye maandalizi ya
album hii tunazidi kuyafahamu as times go on,and trending topic now ni
kijana mzaliwa wa Nigeria,Laolu Senbanjo mwenye makazi yake Brooklyn
New York, ambae aliplay part within Coriography Team,kwa kubuni na
kuchora michoro iliyotakiwa kuonekana kwenye mwili wa Queen Bey and her
Dancers kwenye album hiyo.
“Sorry”,moja ya track zinazopatikana kwenye album hii,video yake inamuonyesha Beyonce na dancers wake wakiwa na nakshi za michoro mbalimbali kwenye miili yao,michoro ambayo imechorwa na Laolu,ambae michoro yake ameipa jina”Sacred art of the Ori”,”In my language, Yoruba ‘Ori’ literally means your essence, your soul, your destiny”,anasema Laulu.
Laolu Senbanjo.
Inaonekana album hii ina mambo mengi zaidi nyuma ya pazia so as time
goes on,pengine tutarajie kusikia makubwa zaidi kuhusu album hii ambayo
now inapatikana Itune na Amazon na Tidal.
UNGANA NAMI KATIKA MITANDAO MINGINE YA KIJAMII: Facebook== DJWillkan.com, Twitter== @Djkanvol Instagram== @djwillkan_zekanvol
KWA HABARI MOTOMOTO ZA KIBURUDANI, SIASA, MICHEZO, HABARI ZA KUSISIMUA NA ZINGINE NYINGI.
djwillkan.blogspot.com
No comments:
Post a Comment