Monday, February 13, 2017

Mapenzi Mubashara>>>Ndani ya Nancy Royal Level Four>>>14 feb 2017 Valentines Day

Wakazi wa mji wa Shinyanga, hii imeandaliwa kwajili yenu hasa wewe na yule umpendae. Nancy Royal Food LTD ni sehemu mpya ya kistaarabu, iko jengo jipya la NSSF mjini Shinyanga. Nancy Royal inakukaribisha sana siku ya kesho 14 Feb 2017 (Valentine), uje wewe na mwenza wako. Zawadi ya chupa moja ya Wine kwa Best Couple itakayotokelezea vizuri. Muda ni kuanzia saa 8:00 mchana. Watu wote mnakaribishwa.

Endelea kuitembelea DJ WILLKAN BLOG
kwa kulike Page yetu ya Facebook,..DJWillkan.com, pia Instagram:@ djwillkan_zekanvol
tufollow pia Twitter: @Djkanvol

No comments:

Post a Comment