Wednesday, March 1, 2017

PICHA : Nkunda Star>>>Unyamwezini Paper Chini Miguu Juu>>>Jembe Beach Mwnz | TAZAMA

Bahati nzuri inayoendelea kuonekana kwa mwanamuziki huyu maarufu kwa jina la Nkunda Star. Aliyevuma kwa muda mfupi sana kwenye Game ya muziki wa Bongo Fleva, kwa nyimbo moja tu iliyoleta matunda makubwa ya kuhudhulia matamasha mbalimbali makubwa. Tazama picha ni show iliyofana machoni na hata mioyoni mwa mashabiki walioonekana kuupenda sana muziki huu wa Trap kwa Lugha ya Kisukuma.
(Paper Chini Miguu Juu (Unyamwezini, Picha







 Dj Jacko
 Hata naye Babu Mkombe hakuwa nyuma kwa Commedy iliyoziweka sawa mbavu za watazamaji.
 
Endelea kuitembelea DJ WILLKAN BLOG
kwa kulike Page yetu ya Facebook,..DJWillkan.com, pia Instagram: @djwillkan_zekanvol
tufollow pia Twitter: @Djkanvol

No comments:

Post a Comment