Pages
Home
VIDEOS
SHOWS
ENTERTAINMENTS
SHINYANGA
LULEKIA
EASY SEASON SHOW
YouTube
Thursday, March 23, 2017
SOCIAL NETWORK LEO : Hii ni kuhusiana na Mabadiliko yaliyofanyika leo kwa Waziri Nape Nnauye>>>Kwenye twitter Joti naye katamka la moyoni
JOTI
@jotitanzania
Watanzania nimewashindwa rasmi leo
24
110
Retweeted by
JOTI and 1 others
Swahili Times
@swahilitimes
Waziri
@JMakamba
(C) akipiga picha (selfie) na Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Hawa Bananga (L) na Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga (R).
24
89
Nape Moses Nnauye
@Nnauye_Nape
Tukutane saa nane kamili Protea Hotel karibu na St. Peter ntakutana na Wanahabari. Karibuni sana!
500
1.5K
Richard Mabala
@MabalaMakengeza
Heshima zako Ndugu Nape. Kwanza ulishirikiana na Ndugu Kinana kurudisha uhai wa chama kwenye jamii, ndiyo maana fulani aliweza kuchaguliwa.
190
520
Zitto Kabwe Ruyagwa
@zittokabwe
Nimezungumza na mbunge wa Mchinga
@Nnauye_Nape
na kuthibitisha kuwa Ni Kweli ameondolewa kwenye Uwaziri. Nape ni Shujaa wa kizazi chetu
550
1.7K
Retweeted by
JOTI and 1 others
Swahili Times
@swahilitimes
Rais wa TLS, Tundu Lissu amesema, wanachama wamepitisha azimio la kumvua uanachama Waziri Mwakyembe na kuwa wanasubiria maamuzi ya viongozi.
92
340
Endelea kuitembelea
DJ WILLKAN BLOG
kwa kulike Page yetu ya Facebook,.
.
DJWillkan.com
,
pia Instagram
:
@djwillkan_zekanvol
tufollow pia Twitter:
@Djkanvol
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment