Thursday, April 6, 2017

VIDEO: Ayo Tv imekutana na msanii wa Trap Music kwa Lugha ya kisukuma Mr. Dimaga >>> Nkunda Star

Ayo Tv ilifanikiwa kukutana na mwanamuziki wa miondoko ya Trap kwa Lugha ya Kisukuma, maarufu Nkunda Star. Hivi karibuni alikuwa location maalum kwa upishi wa Video ya DIMAGA ambayo imeimbwa kwa lugha ya kisukuma. Amezungumza vitu vingi lakini kikubwa zaidi ni utambulisho rasmi wa video yake ya Dimaga ambayo kwa sasa iko tayali na siku ambayo itakuwa ikitazamika machoni pa Mashabiki wake ni kesho, katika kipindi cha Friday Night ambacho kinarushwa na kituo cha Television cha EATV. Nkunda Star ni mwanamuziki chipukizi ambaye ameanza vizuri na kujichukulia sehemu kubwa ya mashabiki ambao wamekuwa wakiufurahia sana muziki wake huo wa miondoko ya Trap kwa lugha ya Kisukuma. Ubunifu mkubwa wa Beat uliofanywa na producer KISSE P na ALLAN MAPIGO ambaye ameremake mzigo ndio ikapatikana DIMAGA.

Endelea kuungana na DJ WILLKAN BLOG ufurahie Video mpya ya NKUNDA STAR
 CHANZO CHA HABARI NA: millardayo.com

 Endelea kuitembelea DJ WILLKAN BLOG
kwa kulike Page yetu ya Facebook,..DJWillkan.com, pia Instagram: @djwillkan_zekanvol
tufollow pia Twitter: @Djkanvol
<<>>
 
                   

No comments:

Post a Comment