Wema hataki mazoea na Harmorapa, amemjibu rapper huyo asiyeishiwa
vituko baada ya kudai kuwa anampenda sana na yupo tayari kutangaza ndoa.
Kwenye post ndefu aliyoiandika Wema Sepetu amemuandikia Harmorapa ujumbe mzito kwenda kwa rapper huyo,
Kwenye post ndefu aliyoiandika Wema Sepetu amemuandikia Harmorapa ujumbe mzito kwenda kwa rapper huyo,
“Sijawahi
kumchukia yeyote anayehangaika kutafuta riziki yake kwa kuwa nami pia
natafuta. Ila mdogo wangu Harmorappa u are getting too much. Pigana na
namna utakavyo kupeleka muziki na jina lako juu but get me out of this.
Nakuheshimu
kama msanii mwenzangu lakini hili la kunadi kunitaka kimapenzi na
kuonyesha utayari wa kufanya mambo kadha wa kadhaa kwangu please waambie
wengine unaodhani mnawezana ila mimi sio wa aina hiyo.
Usiiharibu
image yangu niliyoipigania muda wote, usiniharibie heshima yangu
ninayoijenga sasa ktk chama changu CHADEMA, usiniharibie kwenye familia
yangu, marafiki zangu na usiniharibie kwa niliye nae.
Ni utoto
na ujinga kuposti kila uchao picha za wanawake eti wanakutaka au unatoka
nao DO U THINK NAMI NI WA AINA HIYO? Usidharaulishe. Nadhani kuna
busara ya wewe to look for another one but AM NOT FOR U and i hope
utanipa heshima yangu kama dadaako, msanii mwenzako LETS STOP THERE” Amendika Wema Sepetu.
CHANZO CHA HABARI NA: teamtz.com
Endelea kuitembelea DJ WILLKAN BLOG
kwa kulike Page yetu ya Facebook,..DJWillkan.com, pia Instagram: @djwillkan_zekanvol
tufollow pia Twitter: @Djkanvol
No comments:
Post a Comment