DJ WILLKAN

Pages

  • Home
  • VIDEOS
  • SHOWS
  • ENTERTAINMENTS
  • SHINYANGA
  • LULEKIA
  • EASY SEASON SHOW
  • YouTube

Tuesday, May 23, 2017

INSTAGRAM: Vunja Jungu Cocktail Party na Jembe Djz, Level Four Shinyanga (BOFYA HAPA!)


Ebwanaeeeee lile balaaa la burudani Kali toka jembe djz, toka @jembefm linadondoka Shinyangaaaaaa kama kimbunga shaaaaaaaaaaah, bonge moja la Party litaamshwa ndani ya Shinyanga. Linaitwa #VUNJAJUNGU COCKTAIL PARTY tukiukaribisha mwezi mtukufu wa #ramadhani hiii huruhusiwi kukosa, party litahusika 25/05/2017 LEVEL FOUR SHINYANGA huku party zikiamshwa kwa pini Kali kutoka kwa DJ Mike Beats Na show itasimamiwa na watu wabaya kwa mic @bonzbalaa Na @mbabavc amshaaaaa Na wote mtakao husika mtajipatia #freecocktail Na #nyamachoma ni kuanzia mida ya SAA KUMI NA MBILI jioni. Kwa kiingilio cha Sh 7000 tu. @ommyfashionomary2068
A post shared by DJ WILLKAN (@djwillkan_zekanvol) on May 23, 2017 at 1:46am PDT
at May 23, 2017
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Search This Blog

About Me

My photo
DJ WILLKAN
View my complete profile

Popular Posts

  • Habul Cosmetics & Boutique linapatikana Shinyanga mjini jirani na Easy Flex Studious
    Hawa ni wauzaji wa Vipodozi pamoja na mavazi ya kisasa kwa bei nafu u .
  • VIDEO: B GWAY FT NAY WAMITEGO - SIJACHUKIA (Official Video)
    ENDELEA KUWA PAMOJA NA DJ WILLKAN BLOG,.. Kwa KULIKE page ya Facebook, DJWillkan.com Pia waweza kunifollow kwenye Twitter, DJ WIL...
  • SIMON MWAPAGATA ni mmoja kati ya nominated ya comedian 2015 kwa movie ya Majanja
    Simon Mwapagata staa wa Bongo Movie amekuwa nominated ya comedian 2015 kwa movie ambayo imetamba sana, inaitwa Majanja. Itazame kama bado hu...
  • PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA DARASA NDANI YA SINGIDA NA DAR
    Darasa amefanikiwa kushoot video yake mpya "Sio Mbaya" ndani ya Singida na location nyingine kufanyika Dar Tazama picha ...
  • TAMASHA KUBWA LA MISS SHINYANGA(TALENT) LILILOFANYIKA JANA KATIKA UKUMBI WA NSSF SHINYANGA-Mama KANUMBA AWASHUKURU WANASHINYANGA
    Mama mzazi wa Steven Kanumba akiwashukuru wakazi wa Shinyanga kwa kushirikiana naye katika msiba wa mwanaye pia kwa mapokezi mazuri walivo...

VIDEO | Mbosso - Ate (Official Music Video)

Endelea kuitembelea djwillkan.blogspot.com kwa Habari zote za kiburudani, Music & Story | Mp3 & Videos download                ...

DJ WILLKAN

DJ WILLKAN

Tags

AUDIO (17) djwillkan.com (32) ENTERTAINMENT (18) INSTAGRAM (2) MUSIC (2) STORY (5) VIDEOS (23)

My Blog List

  • BekaBoy
    AUDIO: Martha Mwaipaja – Jemedari | Download - AUDIO: Martha Mwaipaja – Jemedari | Download Mp3 Renowned Tanzanian gospel singer Martha Mwaipaja has blessed her fans once again with the release of a pow...
    2 hours ago
  • DJ Mwanga
    AUDIO | Harmonize - Kushoto Kulia | Download - *DOWNLOAD* Listen to Harmonize - Kushoto Kulia byDJ Mwanga on hearthis.at
    5 years ago
  • TEAMTZ
    Ratiba ya raundi ya nne ya FA, Timu ya Nottingham Forest iliyoitoa Arsenal kupambana na Hully City - Ratiba ya kombe la FA katika hatua ya raundi ya nne imetoka baada ya kufanikiwa kuiona Arsenal ikitupwa nje ya michuano hiyo katika raundi ya tatu na timu ...
    7 years ago

FOLLOW ON TWITTER

Follow @Djkanvol

TWEET TO ME

Tweet to @DjKanvol

Labels

  • AUDIO
  • djwillkan.com
  • ENTERTAINMENT
  • INSTAGRAM
  • MUSIC
  • STORY
  • VIDEOS

Contact Form

Name

Email *

Message *

Facebook

DJWillkan.com

Followers

DJ WILLKAN (c) 2020. Simple theme. Powered by Blogger.