fursaa P funk majani alikuepo na wageni hawa |
Jason Geter Manager wa T i akisisitiza juu ya fursa |
Wasanii walijitokeza |
Mmoja wa wasanii maarufu kwa jina la Witness akiuliza swali |
Menager wa msanii wa kimataifa Ti Jason Geter alie wasili na team yake tayari kwajili jambo moja kubwa la show ya serengeti fiesta jumamosi ya kesho pale leaders club.Alikuwa akisema mawili matatu ya msingi yanayohusu fursa katika musiki.