Video mpya ya Nick Minaj, Only Drake Na Chriss Brown ndani
Rappa
Nicki Minaj amebadilisha Pink Fridaykuwa Black Friday kwenye video yake
mpya ya “Only” ikiwa ni single ya tatu kutoka kwenye album yake
mpya ya The Pinkprint. Huu ndio wimbo uliowakutanisha tena Chris Brown Na Drake.
djwillkan.blogspot.com
No comments:
Post a Comment