Saturday, December 13, 2014

Kim Kardashian Kunogeshwa na Penzi la mtoto wa Mfalme wa SOUDI ARABIA



Mwanamitindo wa Marekani Kim Kardashian anadaiwa kupewa dola milioni 1 na mtoto wa kifalme wa Saudi Arabia.

Kim anatarajia kusafiri kwenda Saudi Arabia mwezi January, kuwa mgeni rasmi wa mtoto huyo ambapo amemtumia ujumbe Kardashian kupitia akaunti ya yake ya instagram.

“I’m Saudi and i’ll pay you one milion per night Mai”. aliandika mtoto wa kifalme.
 
 
 
djwillkan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment