Ni Msanii mmoja pekee aliyeweza kufanya Tour Zake Nchi nzima Mwana wenu ALLY KIBA
Msanii wa Bongo Fleva Ally Kiba tayali amekwisha wasili mjini Moshi leo ambapo ndio Tour yake inaanzia hapo ya Chekecha Cheke Tour. Wakazi wa Moshi kazi kwenu ndani ya Club Laliga...
Tazama picha akiwa tayali amewasili Moshi Air Port.
No comments:
Post a Comment