Huu ni utangulizi tu wa video mpya ya MUGGAR inayoitwa Regina. Djwillkan Blog imejaribu kumvutia waya Director wa video hii K ZI-X, amesema yakwamba kwa sasa wako location wakiendelea kushuti video hii. Na hizi picha ni baazi ya vipande ambavo vanahusika katika video hii.
Endelea kutembela djwillkan.blogspot.com,
tuatakupa habari zaidi kuhusiana na video hii au kukuwekea na upate nafasi ya kuitazama.
djwillkan.blogspot.com
Instagram- dj_willkan_ze_kanvol
Facebook- Willkan Von Yahewa
Twitter- Dj Willkan @djkanvol
E-mail- djwillkan@gmail.com
No comments:
Post a Comment