PICHA ZA SEHEMU YA KIKAO CHA KAMATI KUU MJINI DODOMA LEO. 5 BORA KUPATIKANA BAADA YA KIKAO HIKI.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza
Kikao cha Kamati Kuuya CCM (CC) kinachoendelea hivi sasa kwenye ukumbi
wa White House Makao Makuu ya CCM, Mjini Dodoma. Kikao hiki kinapitia
majina yote 38 ya Watangaza nia kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, ambapo
majina matano yatapatikana baada ya kikao hiki. PICHA ZOTE NA MWANDISHI
WA GSENGO BLOG - ZEPHANIA MANDIA, DODOMA
Wazee
wa Kamati ya Ushauri ya CCM ikiongozwa na Rais Mstaafu awamu ya Pili,
Alhaji Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu awamu ya tatu, Mh. Benjamin
Mkapa, Makamu Mstaafu wa CCM, Mzee Pius Msekwa pamoja na Waziri Mkuu
Mstaafu, Mh. Cleopa Msuya.
No comments:
Post a Comment