Dr.
ametangaza kuachia album ya tatu na ya mwisho "Compton: Sound Track ya
album hiyo itaachiwa siku ya ijumaa (August 7).baada ya kuachana na
album iliyokuwa ikisubiriwa na mashabiki wa muziki duniani Detox.
kazi
ya kuiandaa Detox ilianza kitambo cha miaka 2001, mwaka 2004, producer
mwenzake Scott storch aliielezea kuwa ni album kali ya rap kuanzia
muziki wenyewe na kimashairi pia,
Lakini badala yake hatutakuwa
na chance ya kuisikiliza tena album hiiyo licha ya kutoka kwa single
mbili ikiwemo "Ineed A Doctor" ambayo ni collable ya Eminem na Skylar
Grey
collaboration, kwasasa Dre ametema na album yote.
akielezea
sababu ya kufanya hivyo Dre amesema "Sikuipenda, haikuwa nzuri, haikuwa
tu nzuri, nimeifanyia kazi sana na sidhani kama nimefanya kazi nzuri ya
kutosha."
kwa
sasa ametangaza album ambayo itatoka baada ya kutokuachia miaka 16
itakuwa inaitwa "Compton" na baadhi ya wageni ndani ya album hiyo ni
pamoja na Kendrick Lamar, Ice Cube, The Game, Snoop Dogg pamoja na
Eminem.
Hii ndio list ya ngoma ndani ya Compton: Soundtrack by Dr. Dre
1. "Intro" 2. "Talk About It" (featuring King Mez and Justus)
3. "Genocide" (featuring Kendrick Lamar, Marsha Ambrosius and Candice Pillay) Dem Jointz
4. "It's All on Me" (featuring Justus and BJ the Chicago Kid)
5. "All in a Day's Work" (featuring Anderson Paak and Marsha Ambrosius)
6. "Darkside/Gone" (featuring King Mez, Marsha Ambrosius and Kendrick Lamar)
7. "Loose Cannons" (featuring Xzibit and Cold 187um)
8. "Issues" (featuring Ice Cube and Anderson Paak)
9. "Deep Water" (featuring Kendrick Lamar and Justus)
10. "One Shot One Kill" (Jon Connor featuring Snoop Dogg)
11. "Just Another Day" (The Game featuring Asia Bryant)
12. "For the Love of Money" (featuring Jill Scott and Jon Connor)
13. "Satisfiction" (featuring Snoop Dogg, Marsha Ambrosius and King Mez) Dem Jointz
14. "Animals" (featuring Anderson Paak)
15. "Medicine Man" (featuring Eminem, Candice Pillay and Anderson Paak) Dem Jointz
16. "Talking to My Diary"
No comments:
Post a Comment