Sunday, July 20, 2014

MAJINA YA WALIMU WANAOTAKIWA KUJIUNGA NA JKT YATAJWA

                                             tembelea djwillkan.blogspot.com



https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEinp_T7CFNoBi2TinHDcn94tI6DCWJFeHQ0DIJpEG-fH780pN-8KuuA3m5LCls7wTCsj82873DBGn68A3y-925Q1JLDKtuQFW1vpYPeb1MTWGo5LA5MqslQigTSjO09mv0l9CuKsYbQGRk/s1600/E80A2604.jpgHatimaye jeshi la kujenga taifa limetangaza majina ya walimu ambao wanatakiwa kupitia jkt kwa ajili ya mafunzo MAALUM kama ilivyo kwa kidato cha sita,yajulikanayo kama mafunzo kwa  mujibu wa sheria.

Walimu waliochaguliwa ni wa ngazi ya cheti ambao wamepangiwa vikosi vya kwenda.

Kuangalia majina hayo tafadhali BOFYA hapo chini;
MAKUTOPORA - DODOMA


  
Habari moto moto na djwillkan.com

No comments:

Post a Comment